Kutoka 40:24
Exodus 40:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu
Exodus 40:24 in English
Exodus 40:24 · Berean Standard Bible
He also placed the lampstand in the Tent of Meeting opposite the table on the south side of the tabernacle
Context
22Mose akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia 23na kupanga mikate juu yake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 24Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu 25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 26Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.