Kutoka 40:25
Exodus 40:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.
Exodus 40:25 in English
Exodus 40:25 · Berean Standard Bible
and set up the lamps before the LORD, just as the LORD had commanded him.
Context
23na kupanga mikate juu yake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 24Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu 25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 26Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia 27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.