Native Bible

Exodus 40:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kupanga mikate juu yake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.

Exodus 40:23 in English

Exodus 40:23 · Berean Standard Bible

He arranged the bread on it before the LORD, just as the LORD had commanded him.

Context

21Kisha Mose akalileta Sanduku ndani ya Maskani ya Mungu, akatundika pazia ili kulifunika Sanduku la Ushuhuda, kama Bwana alivyomwagiza. 22Mose akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia 23na kupanga mikate juu yake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 24Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu 25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.