Kutoka 30:24
Exodus 30:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini* ya mafuta ya zeituni.
Exodus 30:24 in English
Exodus 30:24 · Berean Standard Bible
500 shekels of cassia *—all according to the sanctuary shekel—and a hin of olive oil.*
Context
22Kisha Bwana akamwambia Mose, 23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500* za manemane ya maji, shekeli 250* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri, 24shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini* ya mafuta ya zeituni. 25Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako. 26Kisha yatumie kupaka hilo Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.