Native Bible

Exodus 30:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Bwana akamwambia Mose,

Exodus 30:22 in English

Exodus 30:22 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

20Wakati wowote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili kwamba wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, 21watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.” 22Kisha Bwana akamwambia Mose, 23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500* za manemane ya maji, shekeli 250* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri, 24shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini* ya mafuta ya zeituni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.