Native Bible

Exodus 30:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500* za manemane ya maji, shekeli 250* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,

Exodus 30:23 in English

Exodus 30:23 · Berean Standard Bible

“Take the finest spices: 500 shekels of liquid myrrh,* half that amount (250 shekels) of fragrant cinnamon,* 250 shekels of fragrant cane,*

Context

21watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.” 22Kisha Bwana akamwambia Mose, 23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500* za manemane ya maji, shekeli 250* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri, 24shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini* ya mafuta ya zeituni. 25Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.