Kutoka 30:21
Exodus 30:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.”
Exodus 30:21 in English
Exodus 30:21 · Berean Standard Bible
Thus they are to wash their hands and feet so that they will not die; this shall be a permanent statute for Aaron and his descendants for the generations to come.”
Context
19Aroni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia. 20Wakati wowote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili kwamba wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, 21watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.” 22Kisha Bwana akamwambia Mose, 23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500* za manemane ya maji, shekeli 250* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.