Kutoka 30:25
Exodus 30:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako.
Exodus 30:25 in English
Exodus 30:25 · Berean Standard Bible
Prepare from these a sacred anointing oil, a fragrant blend, the work of a perfumer; it will be a sacred anointing oil.
Context
23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500* za manemane ya maji, shekeli 250* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri, 24shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini* ya mafuta ya zeituni. 25Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako. 26Kisha yatumie kupaka hilo Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda, 27meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.