Kutoka 30:26
Exodus 30:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha yatumie kupaka hilo Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda,
Exodus 30:26 in English
Exodus 30:26 · Berean Standard Bible
Use this oil to anoint the Tent of Meeting, the ark of the Testimony,
Context
24shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini* ya mafuta ya zeituni. 25Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako. 26Kisha yatumie kupaka hilo Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda, 27meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba, 28madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote na sinia pamoja na kitako chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.