Kutoka 25:15
Exodus 25:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa.
Exodus 25:15 in English
Exodus 25:15 · Berean Standard Bible
The poles are to remain in the rings of the ark; they must not be removed.
Context
13Kisha utatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. 14Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 15Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa. 16Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa. 17“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.