Kutoka 25:16
Exodus 25:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa.
Exodus 25:16 in English
Exodus 25:16 · Berean Standard Bible
And place inside the ark the Testimony,* which I will give you.
Context
14Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 15Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa. 16Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa. 17“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu. 18Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.