Native Bible

Exodus 25:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.

Exodus 25:14 in English

Exodus 25:14 · Berean Standard Bible

Insert the poles into the rings on the sides of the ark, in order to carry it.

Context

12Utalisubu kwa pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine. 13Kisha utatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. 14Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 15Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa. 16Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.