Kutoka 25:17
Exodus 25:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu.
Exodus 25:17 in English
Exodus 25:17 · Berean Standard Bible
And you are to construct a mercy seat * of pure gold, two and a half cubits long and a cubit and a half wide.*
Context
15Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa. 16Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa. 17“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu. 18Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko. 19Tengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; watengeneze makerubi hao wawe kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.