Native Bible

Exodus 23:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.

Exodus 23:4 in English

Exodus 23:4 · Berean Standard Bible

If you encounter your enemy’s stray ox or donkey, you must return it to him.

Context

2“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu, 3nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake. 4“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake. 5Ukiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia. 6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.