Native Bible

Exodus 23:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake.

Exodus 23:3 in English

Exodus 23:3 · Berean Standard Bible

And do not show favoritism to a poor man in his lawsuit.

Context

1“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine. 2“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu, 3nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake. 4“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake. 5Ukiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.