Native Bible

Exodus 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.

Exodus 23:1 in English

Exodus 23:1 · Berean Standard Bible

“You shall not spread a false report. Do not join the wicked by being a malicious witness.

Context

1“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine. 2“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu, 3nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.