Native Bible

Exodus 23:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ukiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia.

Exodus 23:5 in English

Exodus 23:5 · Berean Standard Bible

If you see the donkey of one who hates you fallen under its load, do not leave it there; you must help him with it.

Context

3nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake. 4“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake. 5Ukiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia. 6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao. 7Ujiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.