Native Bible

Exodus 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao.

Exodus 23:6 in English

Exodus 23:6 · Berean Standard Bible

You shall not deny justice to the poor in their lawsuits.

Context

4“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake. 5Ukiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia. 6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao. 7Ujiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia. 8“Usipokee rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha wale waonao, na kupinda maneno ya wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.