Native Bible

Exodus 23:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Usipokee rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha wale waonao, na kupinda maneno ya wenye haki.

Exodus 23:8 in English

Exodus 23:8 · Berean Standard Bible

Do not accept a bribe, for a bribe blinds those who see and twists the words of the righteous.

Context

6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao. 7Ujiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia. 8“Usipokee rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha wale waonao, na kupinda maneno ya wenye haki. 9“Usimwonee mgeni; ninyi wenyewe mnajua jinsi mgeni anavyojisikia, kwa sababu mlikuwa wageni Misri. 10“Kwa muda wa miaka sita mtapanda mashamba yenu na kuvuna mazao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.