Native Bible

Exodus 21:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua.

Exodus 21:14 in English

Exodus 21:14 · Berean Standard Bible

But if a man schemes and acts willfully against his neighbor to kill him, you must take him away from My altar to be put to death.

Context

12“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika. 13Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia. 14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua. 15“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe. 16“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.