Kutoka 21:12
Exodus 21:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika.
Exodus 21:12 in English
Exodus 21:12 · Berean Standard Bible
Whoever strikes and kills a man must surely be put to death.
Context
10Ikiwa huyo mwana aliyeozwa mtumwa mwanamke ataoa mwanamke mwingine, ni lazima aendelee kumtosheleza huyo mke wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zote za ndoa. 11Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha. 12“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika. 13Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia. 14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.