Kutoka 21:13
Exodus 21:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.
Exodus 21:13 in English
Exodus 21:13 · Berean Standard Bible
If, however, he did not lie in wait, but God allowed it to happen, then I will appoint for you a place where he may flee.
Context
11Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha. 12“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika. 13Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia. 14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua. 15“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.