Native Bible

Exodus 21:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha.

Exodus 21:11 in English

Exodus 21:11 · Berean Standard Bible

If, however, he does not provide her with these three things, she is free to go without monetary payment.

Context

9Kama akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake. 10Ikiwa huyo mwana aliyeozwa mtumwa mwanamke ataoa mwanamke mwingine, ni lazima aendelee kumtosheleza huyo mke wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zote za ndoa. 11Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha. 12“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika. 13Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.