Native Bible

Exodus 21:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.

Exodus 21:15 in English

Exodus 21:15 · Berean Standard Bible

Whoever strikes his father or mother must surely be put to death.

Context

13Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia. 14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua. 15“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe. 16“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe. 17“Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.