Native Bible

Exodus 21:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe.

Exodus 21:17 in English

Exodus 21:17 · Berean Standard Bible

Anyone who curses * his father or mother must surely be put to death.*

Context

15“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe. 16“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe. 17“Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe. 18“Kama watu wakigombana na mmoja akimpiga mwingine kwa jiwe au kwa ngumi yake na hakufa bali akaugua na kulala kitandani, 19yule aliyempiga ngumi hatahesabiwa kuwa na hatia kama mwenzake ataamka na kujikongoja kwa fimbo yake, lakini hata hivyo, ni lazima amlipe fidia ya muda wake aliopoteza na awajibike mpaka apone kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.