Kutoka 21:16
Exodus 21:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.
Exodus 21:16 in English
Exodus 21:16 · Berean Standard Bible
Whoever kidnaps another man must be put to death, whether he sells him or the man is found in his possession.
Context
14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua. 15“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe. 16“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe. 17“Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe. 18“Kama watu wakigombana na mmoja akimpiga mwingine kwa jiwe au kwa ngumi yake na hakufa bali akaugua na kulala kitandani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.