Kutoka 15:16
Exodus 15:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
vitisho na hofu vitawaangukia. Kwa nguvu ya mkono wako watatulia kama jiwe, mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana, mpaka watu uliowanunua wapite.
Exodus 15:16 in English
Exodus 15:16 · Berean Standard Bible
and terror and dread will fall on them. By the power of Your arm they will be as still as a stone until Your people pass by, O LORD, until the people You have bought pass by.
Context
14Mataifa watasikia na kutetemeka,
uchungu utawakamata watu wa Ufilisti. 15Wakuu wa Edomu wataogopa,
viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu,
watu wa Kanaani watayeyuka, 16vitisho na hofu vitawaangukia.
Kwa nguvu ya mkono wako
watatulia kama jiwe,
mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana,
mpaka watu uliowanunua wapite. 17Utawaingiza na kuwapandikiza
juu ya mlima wa urithi wako:
hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako,
mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 18Bwana atatawala
milele na milele.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.