Kutoka 15:17
Exodus 15:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utawaingiza na kuwapandikiza juu ya mlima wa urithi wako: hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako.
Exodus 15:17 in English
Exodus 15:17 · Berean Standard Bible
You will bring them in and plant them on the mountain of Your inheritance— the place, O LORD, You have prepared for Your dwelling, the sanctuary, O Lord, Your hands have established.
Context
15Wakuu wa Edomu wataogopa,
viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu,
watu wa Kanaani watayeyuka, 16vitisho na hofu vitawaangukia.
Kwa nguvu ya mkono wako
watatulia kama jiwe,
mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana,
mpaka watu uliowanunua wapite. 17Utawaingiza na kuwapandikiza
juu ya mlima wa urithi wako:
hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako,
mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 18Bwana atatawala
milele na milele.” 19Farasi wa Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake walipoingia baharini, Bwana aliyarudisha maji ya bahari yakawafunika, lakini wana wa Israeli walipita baharini mahali pakavu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.