Kutoka 15:14
Exodus 15:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mataifa watasikia na kutetemeka, uchungu utawakamata watu wa Ufilisti.
Exodus 15:14 in English
Exodus 15:14 · Berean Standard Bible
The nations will hear and tremble; anguish will grip the dwellers of Philistia.
Context
12Uliunyoosha mkono wako wa kuume
na nchi ikawameza. 13“Katika upendo wako usiokoma utawaongoza
watu uliowakomboa.
Katika nguvu zako utawaongoza
mpaka makao yako matakatifu. 14Mataifa watasikia na kutetemeka,
uchungu utawakamata watu wa Ufilisti. 15Wakuu wa Edomu wataogopa,
viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu,
watu wa Kanaani watayeyuka, 16vitisho na hofu vitawaangukia.
Kwa nguvu ya mkono wako
watatulia kama jiwe,
mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana,
mpaka watu uliowanunua wapite.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.