Native Bible

Exodus 15:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza.

Exodus 15:12 in English

Exodus 15:12 · Berean Standard Bible

You stretched out Your right hand, and the earth swallowed them up.

Context

10Lakini ulipuliza kwa pumzi yako, bahari ikawafunika. Wakazama kama risasi kwenye maji makuu. 11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? Ni nani kama Wewe: uliyetukuka katika utakatifu, utishaye katika utukufu, ukitenda maajabu? 12Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza. 13“Katika upendo wako usiokoma utawaongoza watu uliowakomboa. Katika nguvu zako utawaongoza mpaka makao yako matakatifu. 14Mataifa watasikia na kutetemeka, uchungu utawakamata watu wa Ufilisti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.