Native Bible

Exodus 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri.

Exodus 1:5 in English

Exodus 1:5 · Berean Standard Bible

The descendants of Jacob numbered seventy * in all, including Joseph, who was already in Egypt.

Context

3Isakari, Zabuloni na Benyamini; 4Dani na Naftali, Gadi na Asheri. 5Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri. 6Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa, 7lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.