Native Bible

Exodus 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dani na Naftali, Gadi na Asheri.

Exodus 1:4 in English

Exodus 1:4 · Berean Standard Bible

Dan and Naphtali; Gad and Asher.

Context

2Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda; 3Isakari, Zabuloni na Benyamini; 4Dani na Naftali, Gadi na Asheri. 5Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri. 6Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.