Kutoka 1:6
Exodus 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,
Exodus 1:6 in English
Exodus 1:6 · Berean Standard Bible
Now Joseph and all his brothers and all that generation died,
Context
4Dani na Naftali, Gadi na Asheri. 5Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri. 6Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa, 7lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi. 8Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.