Native Bible

Exodus 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi.

Exodus 1:7 in English

Exodus 1:7 · Berean Standard Bible

but the Israelites were fruitful and increased rapidly; they multiplied and became exceedingly numerous, so that the land was filled with them.

Context

5Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri. 6Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa, 7lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi. 8Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri. 9Akawaambia watu wake, “Tazameni, Waisraeli wamekuwa wengi mno kwa idadi kutuliko sisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.