Native Bible

Exodus 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.

Exodus 1:8 in English

Exodus 1:8 · Berean Standard Bible

Then a new king, who did not know Joseph, came to power in Egypt.

Context

6Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa, 7lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi. 8Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri. 9Akawaambia watu wake, “Tazameni, Waisraeli wamekuwa wengi mno kwa idadi kutuliko sisi. 10Njooni, ni lazima tuwashughulikie kwa uangalifu, la sivyo watazidi kuwa wengi zaidi, na ikiwa patatokea vita, watajiunga na adui zetu kupigana dhidi yetu na kuondoka katika nchi hii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.