Waefeso 6:3
Ephesians 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
Ephesians 6:3 in English
Ephesians 6:3 · Berean Standard Bible
“that it may go well with you and that you may have a long life on the earth.”*
Context
1Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema. 2“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.” 4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana. 5Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.