Native Bible

Ephesians 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema.

Ephesians 6:1 in English

Ephesians 6:1 · Berean Standard Bible

Children, obey your parents in the Lord, for this is right.

Context

1Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema. 2“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.