Native Bible

Ephesians 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,

Ephesians 6:2 in English

Ephesians 6:2 · Berean Standard Bible

“Honor your father and mother” (which is the first commandment with a promise),

Context

1Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema. 2“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.” 4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.