Waefeso 6:4
Ephesians 6:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana.
Ephesians 6:4 in English
Ephesians 6:4 · Berean Standard Bible
Fathers, do not provoke your children to wrath; instead, bring them up in the discipline and instruction of the Lord.
Context
2“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.” 4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana. 5Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo. 6Watiini, si tu wakati wakiwaona ili mpate upendeleo wao, bali mtumike kama watumwa wa Kristo, mkifanya mapenzi ya Mungu kwa moyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.