Waefeso 6:5
Ephesians 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo.
Ephesians 6:5 in English
Ephesians 6:5 · Berean Standard Bible
Slaves, obey your earthly masters with respect and fear and sincerity of heart, just as you would obey Christ.
Context
3“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.” 4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana. 5Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo. 6Watiini, si tu wakati wakiwaona ili mpate upendeleo wao, bali mtumike kama watumwa wa Kristo, mkifanya mapenzi ya Mungu kwa moyo. 7Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana na si wanadamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.