Native Bible

Ephesians 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana na si wanadamu.

Ephesians 6:7 in English

Ephesians 6:7 · Berean Standard Bible

Serve with good will, as to the Lord and not to men,

Context

5Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo. 6Watiini, si tu wakati wakiwaona ili mpate upendeleo wao, bali mtumike kama watumwa wa Kristo, mkifanya mapenzi ya Mungu kwa moyo. 7Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana na si wanadamu. 8Mkijua kwamba Bwana atampa kila mtu thawabu kwa lolote jema alilotenda, kama yeye ni mtumwa au ni mtu huru. 9Nanyi mabwana, watendeeni watumwa wenu kwa jinsi iyo hiyo. Msiwatishe, kwa kuwa mnajua ya kwamba yeye aliye Bwana wenu na Bwana wao yuko mbinguni, naye hana upendeleo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.