Waefeso 6:9
Ephesians 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nanyi mabwana, watendeeni watumwa wenu kwa jinsi iyo hiyo. Msiwatishe, kwa kuwa mnajua ya kwamba yeye aliye Bwana wenu na Bwana wao yuko mbinguni, naye hana upendeleo.
Ephesians 6:9 in English
Ephesians 6:9 · Berean Standard Bible
And masters, do the same for your slaves. Give up your use of threats, because you know that He who is both their Master and yours is in heaven, and there is no favoritism with Him.
Context
7Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana na si wanadamu. 8Mkijua kwamba Bwana atampa kila mtu thawabu kwa lolote jema alilotenda, kama yeye ni mtumwa au ni mtu huru. 9Nanyi mabwana, watendeeni watumwa wenu kwa jinsi iyo hiyo. Msiwatishe, kwa kuwa mnajua ya kwamba yeye aliye Bwana wenu na Bwana wao yuko mbinguni, naye hana upendeleo. 10Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga hila za ibilisi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.