Native Bible

Ephesians 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.

Ephesians 6:10 in English

Ephesians 6:10 · Berean Standard Bible

Finally, be strong in the Lord and in His mighty power.

Context

8Mkijua kwamba Bwana atampa kila mtu thawabu kwa lolote jema alilotenda, kama yeye ni mtumwa au ni mtu huru. 9Nanyi mabwana, watendeeni watumwa wenu kwa jinsi iyo hiyo. Msiwatishe, kwa kuwa mnajua ya kwamba yeye aliye Bwana wenu na Bwana wao yuko mbinguni, naye hana upendeleo. 10Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga hila za ibilisi. 12Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.