Waefeso 6:8
Ephesians 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkijua kwamba Bwana atampa kila mtu thawabu kwa lolote jema alilotenda, kama yeye ni mtumwa au ni mtu huru.
Ephesians 6:8 in English
Ephesians 6:8 · Berean Standard Bible
because you know that the Lord will reward each one for whatever good he does, whether he is slave or free.
Context
6Watiini, si tu wakati wakiwaona ili mpate upendeleo wao, bali mtumike kama watumwa wa Kristo, mkifanya mapenzi ya Mungu kwa moyo. 7Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana na si wanadamu. 8Mkijua kwamba Bwana atampa kila mtu thawabu kwa lolote jema alilotenda, kama yeye ni mtumwa au ni mtu huru. 9Nanyi mabwana, watendeeni watumwa wenu kwa jinsi iyo hiyo. Msiwatishe, kwa kuwa mnajua ya kwamba yeye aliye Bwana wenu na Bwana wao yuko mbinguni, naye hana upendeleo. 10Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.