Waefeso 5:21
Ephesians 5:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo.
Ephesians 5:21 in English
Ephesians 5:21 · Berean Standard Bible
Submit to one another out of reverence for Christ.*
Context
19Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu, 20siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. 21Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo. 22Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. 23Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.