Waefeso 5:23
Ephesians 5:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake.
Ephesians 5:23 in English
Ephesians 5:23 · Berean Standard Bible
For the husband is the head of the wife as Christ is the head of the church, His body, of which He is the Savior.
Context
21Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo. 22Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. 23Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake. 24Basi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo. 25Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.