Waefeso 5:22
Ephesians 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.
Ephesians 5:22 in English
Ephesians 5:22 · Berean Standard Bible
Wives, submit to your husbands as to the Lord.
Context
20siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. 21Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo. 22Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. 23Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake. 24Basi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.