Waefeso 5:20
Ephesians 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Ephesians 5:20 in English
Ephesians 5:20 · Berean Standard Bible
always giving thanks to God the Father for everything in the name of our Lord Jesus Christ.
Context
18Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho. 19Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu, 20siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. 21Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo. 22Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.