Waefeso 5:19
Ephesians 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu,
Ephesians 5:19 in English
Ephesians 5:19 · Berean Standard Bible
Speak to one another with psalms, hymns, and spiritual songs. Sing and make music in your hearts to the Lord,
Context
17Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana. 18Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho. 19Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu, 20siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. 21Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.