Native Bible

Ephesians 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana.

Ephesians 5:10 in English

Ephesians 5:10 · Berean Standard Bible

Test and prove what pleases the Lord.

Context

8Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli), 10nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana. 11Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. 12Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.